
Photoshop Gradients
10,000 TZS
BACKGROUND ZENYE MVUTO ZINAANZA NA RANGI SAHIHI! Je, unatumia muda mwingi kutengeneza backgrounds zenye mvuto kwenye Photoshop? Au unakosa color combinations zinazoweza kuifanya design yako ionekane ya kipekee? Tumekuandalia PHOTOSHOP GRADIENT OVERLAYS COLLECTION – mkusanyiko wa gradient overlays zenye rangi na mitindo mbalimbali zitakazokusaidia kuboresha kazi zako za ubunifu. Ndani ya collection hii utapata gradients za rangi mbalimbali kama: - Red & Orange Gradients - Green Gradients - Gold & Bronze Gradients - Pink & Yellow Gradients - pamoja na rangi na mitindo mingine mingi. Faida za kuwa na collection hii: - Tengeneza backgrounds zenye mvuto kwa urahisi. - Boresha muonekano wa posters, flyers na social media designs. - Ongeza color effects na depth kwenye designs zako. - Pata machaguo mengi ya rangi kulingana na concept ya design yako. - Okoa muda badala ya kuanza kutengeneza gradients kutoka mwanzo. Acha backgrounds zako zionekane za kawaida. Panua ubunifu wako na tengeneza designs zenye mvuto zaidi kwa kutumia Photoshop Gradient Overlays Collection. MORE COLORS. MORE CREATIVITY. BETTER DESIGNS!
- Instant delivery via WhatsApp
- Secure, personal support
- Ready-to-use digital files